Register Today And Join Thouthands Of Buyers , Sellers And Advertisers In Tanzania !   For FREE !

JINSI YA KUTENGENEZA BISKUTI RAHISI - Published: July 18, 2017
JINSI YA KUTENGENEZA BISKUTI RAHISI

MAHITAJI Mafuta ya Butter au Blue Band kiasi ya robo kg Sukari ile laini robo Na Unga wa baking (All purpose flour) NAMNA YA KUANDAA NA KUOKA BISKUTI Kwanza changanya butter/blueband na sukari –... Read more

JINSI YA KUTENGENEZA TOMATO SAUSE - Published: July 18, 2017
JINSI YA KUTENGENEZA TOMATO SAUSE

Yafuatayo Ndiyo mahitaji ya kutengeneza nyanya chanzo. 1. Nyanya kilo 1. 2. Vitunguu maji viwili. 3. Vinegar vijiko 3 vya chai. 4. Sukari vijiko 2 vya chai. 5. Chumvi kijiko Kimoja cha chai 6. Maji ya... Read more

JINSI YA KUTENGENEZA WINE YA NDIZI - Published: July 18, 2017
JINSI YA KUTENGENEZA WINE YA NDIZI

UTENGENEZAJI WA WINE YA NDIZI Wine ya Ndizi. Wine ya ndizi inatokana na ndizi mbivu. Aina yoyote ya ndizi ambayo inaweza kuwiva inaweza kutumika kutengeneza wine. Ili wine yako iweze kuwa na kilevi ni... Read more

JINSI YA KUTENGENEZA UNGA WA LISHE - Published: July 18, 2017
JINSI YA KUTENGENEZA UNGA WA LISHE

UTENGENEZAJI WA UNGA LISHE. Mahindi ni miongoni mwa mazao ya chakula ambayo unga wake unatumika kutengeneza unga lishe. UNGA LISHE : Ni unga bora na unao hitajika sana katika kuborehs afya za watoto, ... Read more

JINSI YA KUPIKA TAMBI - Published: July 18, 2017
JINSI YA KUPIKA TAMBI

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA LADHA KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA MAHITAJI 2 paketi za spaghetti ... Read more

JINSI YA KUFUGA KUKU WA MAYAI NA NYAMA - Published: July 15, 2017
JINSI YAKUFUGA KUKU WA NYAMA NA MAYAI

UFUGAJI BORA WA KUKU WA NYAMA NA MAYAI: WIKI YA KWANZA:SIKU YA 1 - 6 WAPE: GLUCOSEBROILER BOOST AU AMINOVIT AU SUPERVITVIGOSTART KWENYE CHAKULA (KILO 1 KWA MFUKO 1 WAKG 50) KUANZIA WIKI YA KWANZA HADI... Read more

JINSI YA KUTENGENEZA MAANDAZI - Published: July 15, 2017
JINSI YA KUTENGENEZA MAANDAZI

Mapishi ya Mandazi Mahitaji Unga wa ngano (nusu kilo) Sukari (Kikombe 1 cha chai) Chumvi (nusu kijiko cha chai) Hamira (kijiko kimoja cha chai) Yai (1) Maziwa ya unga (vijiko 2 vya chakula) Butter (ki... Read more

JINSI YAKUTENGENEZA MIKATE - Published: July 15, 2017
JINSI YA KUTENGENEZA MIKATE

Mahitaji Unga wa ngano ( self risen flour) kikombe 1 na 1/2 Hamira (yeast) 1 kijiko cha chai Sukari (sugar) 1 kijiko cha chakula Chumvi (salt) 1/2 kijiko cha chai Siagi iliyoyeyushwa (melted butter) 1... Read more

BEI ZA MAZAO SOKONI - Published: July 15, 2017
BEI ZA MAZAO SOKONI

Bei ya Tikiti Kirumba: 400TSh./Kilo Kawangware Kenya: 35KSh./Kilo Mombasa ZnZ: 800TSh./Kilo Kongowea Kenya: 500TSh./Kilo Makambako: 1,000TSh./Kilo Lushoto: 500TSh./pisi Mwanakwerekwe ZnZ: 700TSh./Kilo... Read more

TANZANIA ECONOMY - Published: July 12, 2017
ECONOMIC GROWTH

Read more

BUSINESS - Published: July 12, 2017
Dar Stock exchange Market

Read more

Back to top