Register Today And Join Thouthands Of Buyers , Sellers And Advertisers In Tanzania !   For FREE !

ECONOMIC GROWTH

Kwa ukuaji wa asilimia 6.9, Tanzania ipo chini ya Ivory Coast yenye asimilia 8.5. Tanzania itaendelea kufanya vizuri kutokana na kuongezeka kwa uwekezaji hasa kwenye mafuta na gesi pamoja na maboresho ya miundombinu na kuifanya kuwa sehemu muhimu ya usafirishaji Afrika.  Hii ni orodha rasmi:  1 Cote D’Ivoire 8.5% 2 Tanzania 6.9% 3 Senegal 6.6% 4 Djibouti 6.5% 5 Rwanda 6.3% 6 Kenya 6.0% 7 Mozambique 6.0% 8 Central African Republic 5.7% 9 Sierra Leone 5.3% 10 Uganda 5.3%

Back to top