Register Today And Join Thouthands Of Buyers , Sellers And Advertisers In Tanzania !   For FREE !

JINSI YAKUFUGA KUKU WA NYAMA NA MAYAI

UFUGAJI BORA WA KUKU WA NYAMA NA MAYAI:

WIKI YA KWANZA:SIKU YA 1 - 6

WAPE: GLUCOSEBROILER BOOST AU AMINOVIT AU SUPERVITVIGOSTART KWENYE CHAKULA (KILO 1 KWA MFUKO 1 WAKG 50) KUANZIA WIKI YA KWANZA HADI YA 4 SIKU YA 7 CHANJO YA NEWCASTLE - MASAA 2 TU, WEKA MAJI NA VITAMIN MARABAADA YA KUTOA MAJI YA CHANJO WIKI YA PILI CHANJO YA GUMBORO - MASAA 2 TU, HALAFU ENDELEA NA MAJI YAVITAMIN WIKI YA TATU DOXICOL AU CTC20% NA AMPROLIUM, VITAMIN NA MOLASSESKWA SIKU 5 - 7 WIKI YA NNE HAKIKISHA KUKU WA NYAMA WANAKUWA KATIKA DOSE KUBWA YAVITAMIN WIKI YA SITA WAPE KUKU WA NYAMA MAJI YA VITAMIN ASUBUHI NA MATUPU JIONI WIKI YA NANE WAPE KUKU WA MAYAI CHANJO YA NDUIDAWA ZA MINYOO(PIPERAZINE AU LEKIWORM)VITAMIN AU SUPERVIT LAYERSWALISHE GROWERSMASH AU FARMERS CONCENTRATE HADI MIEZI 3 NA 1/2 TUMIA LAYERS MASHWAKIFIKA MIEZI 4 KAMILI AU WAPE MAJANI WIKI YA KUMI NA MBILI WAPE CHANJO YA NEWCASTLE ( RUDIA KILA BAADA YAMIEZI 3) MASAA 2 KISHA WAPE MAJI YA VITAMIN WIKI YA KUMI NA SITA KATA MIDOMO KISHA WAPE NEOXYVITAL KWA SIKU 3-5 ANDAA VIOTA WIKI YA 54 WAPE VIRUTUBISHO VYENYE KUONGEZA WINGI WA MAYAI MFANOGLP ( KILO 1 KWA KILA KILO 50 ZA CHAKULA, WIKI YA KWANZA NA NUSU KWAWIKI ZINAZOFUATA NA VITAMIN copied from internet WIKI YA 72 TUMIA V RID KUSAFISHA MABANDA ILI KUUA VIJIDUDU PIA WEKA MAJIYA DAWA HII KWENYE DISH YA KUSAFISHIA MIGUU (FOOTBATH) ILI KUHAKIKISHAUDHIBITI WA VIJIDUDU (BIOSECURITY) NA KWAMBA VIFARANGA WANAOWEKWAHAWAATHIRIWI NA VIJIDUDU HIVYO. WIKI YA 96 ONDOA KUKU WOTE WALIOZEEKA All the Best

copied from internet

Back to top