Register Today And Join Thouthands Of Buyers , Sellers And Advertisers In Tanzania !   For FREE !

JINSI YA KUPIKA TAMBI

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA LADHA KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA MAHITAJI 2 paketi za spaghetti 60 gram olive oil 1kitunguu maji kikubwa, chop chop 5 gram kitunguu swaumu 240 gram nyanya ndogo ndogo kata nusu 1 kijko cha chai unga wa coriander 1 kijiko kidogo cha chai unga wa cumin 1/2 kijiko kidogo cha chai unga wa turmeric 240 gram za chickpeas (Kumbuka kuhifadhi maji utakayochemshia) 1 kijiko kikubwa cha chakula tomato paste 6 au 7 mbegu za green olives(sio lazima) 1 fungu la majani ya giligilani na majani ya mint kwajili ya kupambia 60 gram korosho au karanga 5 gram chumvi JINSI YA KUPIKA FATILIA PICHA NA MAELEKEZO HAPO CHINI Chemsha chickpeas ziive kabisa ziwe laini kisha chuja maji na . Zichemshe spaghetti fuata maelekezo katika paketi yake. Kisha kaanga vitunguu katika mafuta pamoja na kitunguu swaumu mpaka vilainike. Ongezea zile nyanya ndogo ndogo ulizokata nusu, tomato paste pamoja na viungo vyote kaanga mpaka upate harufu nzuri ya mchanganyiko wako kuiva na kua rojo rojo . Kisha ongezea chickpeas na kaanga kwa dakika 2 au 3 KIsha weka spaghetti zilizochemshwa, olive oil, olives na korosho kisha endelea kukoroga pole pole. Kisha juu yake pamba kwa kutumia majani ya gili gilani na mint. Majani haya yanaongeza harufu safi na ladha nzuri sana, korosho au karanga zinakupa crunch safi sana. FURAHIA MLO

COPIED FROM INTERNET

Back to top